Esuperi wa Toulouse

Sanamu yake.

Esuperi wa Toulouse (Arreau, Haute-Pyrénées, Ufaransa, karne ya 4 - Blagnac, Haute Garonne, 411 hivi[1]) alikuwa kwa miaka kadhaa askofu wa mji huo ambao aliupigania usalama wake dhidi ya wavamizi mbalimbali[2].

Alisifiwa na Jeromu na Gregori wa Tours, aliyesema alikuwa kati ya maaskofu bora wa wakati wake[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Septemba[5][6].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-09-27. 
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72320
  3. Exuperius is best known in connection with the Canon of the Sacred Scriptures. He had written to Pope Innocent I for instructions concerning the canon and several points of ecclesiastical behaviour. In reply, the pope honoured him with the letter Consulenti Tibi, dated February 405, which contained a list of the canonical scriptures including the deuterocanonical books of the Catholic Canon.
  4. Cassian of Autun.
  5. Martyrologium Romanum
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-07. Iliwekwa mnamo 2020-09-27. 

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search